Government Jobs, Private sectors Jobs, Jobs o, nursing jobs, Job listings inmy area, Job listing website, It job finder, Search for jobs in my area, Job posting website, Job position, job listings, job postings, nursing employment, resume, post a job indeed, job search board, indeed cv database, post job
<
MAHAKAMA wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma, imemuhukumu kifungo cha miaka 60 jela na kupigwa viboko 12, Aloyce Hela (45), kwa kosa la kubaka wanafunzi wawili.
Kesi hiyo iliyosikilizwa na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Pascal Mayumba, ilivuta hisia za wakazi katika wilaya hiyo.
Akisoma maelezo ya kesi hiyo, Mwendesha Mashtaka wa Polisi Godwill Ikema, aliiambia mahakama kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo katika tarehe tofauti kuanzia mwaka 2015 hadi sasa na kumbaka mwanafunzi wa darasa la kwanza mwenye umri wa miaka tisa na wa darasa la pili mwenye miaka 12.
Mayumba alisema mtuhumiwa alifanya kosa kinyume na kifungu cha sheria 130 na 131(1) cha kanuni ya adhabu iliyo fanyiwa marejeo mwaka 2002.
Government Jobs, Private sectors Jobs, Jobs o, nursing jobs, Job listings inmy area, Job listing website, It job finder, Search for jobs in my area, Job posting website, Job position, job listings, job postings, nursing employment, resume, post a job indeed, job search board, indeed cv database, post job Kesi hiyo iliyosikilizwa na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Pascal Mayumba, ilivuta hisia za wakazi katika wilaya hiyo.