Government Jobs, Jobs o, nursing jobs, Job listings inmy area, Job listing website, It job finder, Search for jobs in my area, Job posting website, Job position, job listings, job postings, nursing employment, resume, post a job indeed, job search board, indeed cv database, post job
 Mkurugenzi  wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga anakaribisha maombi ya nafasi za kazi  kutoka kwa Watanzania wote  wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi tajwa hapo juu

MTENDAJI KIJIJI NAFASI 12
SIFA ZA MWOMBAJI
- mwenye elimu ya kidao cha IV au VI aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo Utawala , Sheria, Elimu ya jamii usimamizi wa fedha  maendeleo ya jamii na sayansi ya jamii kutoka chuo cha Serikali za mitaa Homboro Dodoma au chochote  kinacho tamblika na serikali

KAZI NA MAJUKUMU
- Afisa masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Mitaa
- kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao
- kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipnago ya maendeleo ya kijiji
- kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibi
- katibu wa mikutano ya kamatai zote za  Halmashauri ya KIJIJI
- kuandaa taaraifa za utekelezaji wa kazii katika eneo lake na kuhamasisha  wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa Njaa, Umskini na kuongeza uzalishaji  wa mali
- Kiongozi mkuu wa vitengo vya kitaalam kijijini
- kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbu kumbu zote za nyaraka za kijiji

MSHAHARA 
- atalipwa mshahara wa TGS B1

MASHARTI YA JUMLA
- waombaji wawe raia wa Tanzania na wenye umri kati ya miaka 18 hadi 45
- muombaji awasilishe picha moja ya hivi karibuni
- waombaji wawasilishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (CV) yenye anauani  na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ma 3 ya wadhamini wa kuaminika
- waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti halis vya masomo  na taaluma na atakaye wasilisha result slip, statement of results provisional results au transcripts havitakubaliwa
- kwa waliosoma nje ya nchi elimu ya kidato cha 4 na kidato cha sita wawasilishe  uthibitisho wa kutoka NECTA
- kwa walio maliza vyuo vikuu nje wawasilishe uthibitisho kutoka tcu

- WOTE WATAKAO KUWA SHORTLISTED ndio watakaoitwa kwenye usaili 

- maombi yasiozingatia vigezo hayata shughulikiwa
mwisho wa kupokea maombi nitarehe 11/12/2017 saa 9:30 alasiri 

MUHIMU :- kumbuka kuambatanisha barua yako ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu.  maombi yatumwe kwa 

MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA MJI,
S.L.P 135,
MBINGA

TANGAZO PIA LINAPATIKANA KWENYE TOVUTI YA HALMASHAURI YA MJI WA MBINGA www.mbingatc.go.tz  
Government Jobs, Jobs o, nursing jobs, Job listings inmy area, Job listing website, It job finder, Search for jobs in my area, Job posting website, Job position, job listings, job postings, nursing employment, resume, post a job indeed, job search board, indeed cv database, post job
 
Top