Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), wakishirikiana na Jeshi la Polisi, wanamshikilia Samwel Nzagi Kilang'ani (63) kwa tuhuma za kutoboa bomba la mafuta ya dizeli mali ya TPA na kujiunganishia hadi kwenye nyumba yake.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendela na msako wa kuwatafuta watuhumiwa wengine waliokuwa wanashirikiana nae

Ambako ameweka mantaki makubwa ambayo ameyachimbia chini ya ardhi.

Kwa mujibu wa Msemaji wa TPA, Janeth Ruzangi, amethibitisha kutokea tukio hilo na kwamba mtu huyo amekamatwa na Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam inaendelea kumshikilia kwa uchunguzi zaidi.
Chanzo: Nipashe

 MATUKIO ZAIDI BOFYA HAPA   Government Job, nursing jobs, Job listings inmy area, It job finder, Search for jobs in my area job postings, nursing employment, post job
 
Top